Gallery

Sabato ya wageni Tangeni

Sabato ya wageni Kundi la Tangeni katika kanisa la MZUMBE SDA

Mhazini wa ShareHope Ministries, Ms. Rebecca Mchome (kulia) akisikiliza kwa makini wakati kikao kikiendelea. Pembeni yake ni mwanachama mpya aliyepokelewa Ms. Winnie Makoye

Wanachama wa ShareHope Ministries wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wakati wa kikao hicho makini.

Mhazini wa ShareHope Ministries Ms. Rebecca Mchome akikabidhi baadhi ya mahitaji kwa mama mlezi wa mtoto kwa niaba ya ShareHope Ministries kama pole na faraja kwa mgonjwa na wauguzaji.

Ndg. Werema Rwabuhanga (katikati) akitoa Neno fupi la faraja kwa mgonjwa. Kulia ni Mzee kiongozi wa Kanisa la Mlali Peya Peya Ndg. Benatus Muyenjwa.

Ndg. Werema Rwabuhanga (katikati) akitoa Neno fupi la faraja na ombi maalumu kwa mgonjwa. Kulia ni Mzee kiongozi wa Kanisa la Mlali Peya Peya Ndg. Benatus Muyenjwa.

Mzee Kiongozi wa Kanisa la Mlali Peya Peya alitoa maelekezo ya namna ambavyo huduma zitakavyotolewa.

Wahudumu wa ShareHope wakitoa huduma ya uimbaji kanisa la Mlali

Mkurugenzi Mkuu wa ShareHope Minisries(kulia) Ev. Basilio Maliwanga akiwa na Katibu Mkuu Ev. Daniel Kitigani wakiendesha kikao cha mipango ya kazi.

Wajumbe wa kikao wakisikiliza kwa makini agenda zikiwakilishwa

Wajumbe wakipiga kura kuamua jambo lililopendekezwa katika kikao

Nyumba ya muda ya ibada ya kundi la Mongwe Kariakoo. Nyumba hii haijakamilika na hivyo huleta usumbufu sana kwa waabuduo hasa wakati wa mvua

Wahudumu viongozi wa ShareHope Ministries wakati wa ziara za kuangalia maendeleo ya kazi ya Mungu

Baadhi ya wahudumu wa ShareHope Ministries

Washiriki wapya wa Mongwe Kariakoo wakiwa katika nyumba ndogo ya ibada chini ya mti wa mafenesi.

Kwaya ya muungano kati ya kundi la Peko Misegese na Mongwe Kariakoo ikiimba wimbo wa kumkaribisha Mhudumu mkuu wakati wa ibada

Baadhi ya washiriki wa kanisa la Mongwe mara baada ya ibada

Washiriki wa kundi la Mongwe Kariakoo wakijifunza neno la uzima lililotolewa kupitia Ev. Daniel Kitigani

Ev. Daniel Kitigani akimega mkate wa uzima

Waasisi wa kikundi cha huduma ShareHope. Kuanzia kushoto kwako ni Wainjilisti Daniel Kitigani; Basilio Maliwanga; John Mafuru, Mujaya Mujaya na Costantine Masanyiwa

Baadhi ya wahudumu wa ShareHope Ministries baada ya huduma maalumu ya utambulisho wa kikundi kwa TUCASA Chuo Kikuu Mzumbe

Mkurugenzi wa ShareHope Ministries akihutubia wanakundi wa Peko Misegese

Baadhi ya wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya wasichana ya Loleza wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa kanisa la Mbeya Mjini mara baada ya Ibada ya pekee sana iliyofanyika Tar. 22/11/2014 nakushuhudia wasichana 15  miongoni mwao wakipokea ubatizo.

Ibada ya sabato ya wageni TUCASA Mbeya Zone

Ev. Mujaya Mujaya akiwa katika ibada hiyo pia

Wanasemina kutoka Iringa Zone katika picha ya pamoja, kulia kabisa ni Ev. Mujaya Mujaya

Ev. Mujaya Mujaya akiendesha semina za wahazini Iringa zone

Wanasemina wakisikiliza kwa makini sana mafunzo muhimu kwa ufanikishaji wa ukusanyaji na utunzaji wa hazina ya Bwana

Wanasemina walipata nafasi ya kufanya mazoezi ili  kujipima uelewa wao kwa mafunzo waliyoyapokea

Wahazini kutoka Tucasa kanda  ya Mbeya wakati walipokuwa katika semina za Wahazini na Wakaguzi wa fedha zilizofanyika Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST). Kulia kabisa ni Mhazini wa SHC Ndg. Giliad Godson na Mwezeshaji wa semina Ev. Mujaya Mujaya.

Advertisements

ShareHope Ministry is the independent ministry which aims to proclaim the three angels message of Revelation 14 in the theme of Seventhday Adventist Church. The programs are designed include all people without regarding social, political, econimical and geographical boundaries.

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s