About Us

ShareHope Ministry is the independent ministry which aims to proclaim the three angels message of Revelation 14 in the theme of Seventhday Adventist Church. The programs are designed include all people without regarding social, political, econimical and geographical boundaries.

Since July 2014 the ministry have been in operation with the catchment area covering Tanzania mainland. The founders of the ministry are here mentioned Evangelist  Daniel Buyaga Kitigani, Evangelist Mujaya Jones Mujaya, Evangelist Basilio Maliwanga, Evangelist John Mafuru Musibha and Evangelist Constantine Masanyiwa all met at Mzumbe University united by the Holy Spirit in advancement of the gospel.

Founders of ShareHope Ministries from Left to Right are Evangelists Daniel Kitigani; Basilio Maliwanga; John Mafuru; Mujaya Mujaya and Costantine Masanyiwa.

Founders of ShareHope Ministries from Left to Right are Evangelists Daniel Kitigani; Basilio Maliwanga; John Mafuru; Mujaya Mujaya and Costantine Masanyiwa.

Since the commencement of operations ShareHope Ministries have seek the committed youth to join the team. Now the team have increased with the total number of eighteen (18) ministers who are there to serve you.

We offer services such as seminars on Church Planting and Nurturing, Public Campaign, Evangelism, Capacity Building to church officers such as Treasurers, Auditors, Elders and others, advice about Health, Entrepreneurship, Family and Relationships.

VISION

Excellent center in providing gospel ministries within and outside Tanzania by 2025

MISSION

Committed in providing public campaigns, health ministries, special classes evangelism, media ministries, training and capacity building efficiently.

OBJECTIVES

  • Proclaiming everlasting gospel in the context of three angels message of Revelation 14
  • Reducing burdens of diseases through creating awareness on health principles in the communities
  • Sharing the great Love of Jesus Christ to the deprived
  • Enhancing capacity of people in discovering their opportunities and spreading of the gospel
  • Forming a center for media productions and distribution

If your interested with us you can contact us:

E-mail: sharehopeministries@gmail.com

Phone: +255715678122, +255768678122, +255756534710, +255684280775, +255716387987,

+255768799730

IJUE SHAREHOPE MINISTRIES
ShareHope Ministries ni kikundi cha utoaji wa huduma za injili kwa muktadha wa malaika watatu(3) wa Ufunuo 14:6-12 kama unavyofundishwa na Kanisa la Waadventista wa Sabato. Huduma zinalenga kuunga mkono utume wa Kanisa la Waadventista wa Sabato kwa kila tabaka la jamii kiuchumi, kisiasa na utamaduni.

Kikundi cha huduma cha ShareHope kiliasisiwa na vijana watano(5) ambao ni Daniel Buyaga Kitigani; Mujaya Mujaya; Basilio Maliwanga; John Mafuru na Costantine Masanyiwa waliokuwa wakisoma katika Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro mwezi mei mwaka 2014. Mpaka kufikia mwezi juni mwaka 2015 ShareHope ilifikia idadi ya wahudumu 18 waliopo ndani na nje ya Chuo Kikuu Mzumbe. Hivyo watoa huduma wote ni washiriki hai wa Kanisa la Waadventista wa Sabato ambao wametawanyika mikoa mbalimbali katika nchi ya Tanzania.

Waasisi wa kikundi cha huduma ShareHope. Kuanzia kushoto kwako ni Wainjilisti Daniel Kitigani; Basilio Maliwanga; John Mafuru, Mujaya Mujaya na Costantine Masanyiwa

Waasisi wa kikundi cha huduma ShareHope. Kuanzia kushoto kwako ni Wainjilisti Daniel Kitigani; Basilio Maliwanga; John Mafuru, Mujaya Mujaya na Costantine Masanyiwa

Huduma ambazo zinatolewa ni pamoja na uendeshaji wa Mikutano ya Injili; Semina za Afya na Kiasi; Kaya na Familia; Ujasiriamali; Viongozi au Maofisa wa Kanisa kama Wainjilisti Walei, Wainjilisti wa vitabu, Wazee wa kanisa, Wahazini, Makarani, Mashemasi, Wakaguzi wa hesabu; Mapishi ya Kikristo, Kurekodi na Kusambaza mahubiri katika vyombo vya sauti; Mahubiri kwa njia ya mtandao; Mahusiano ya waadventista wa Sabato na Waislamu, Unabii wa siku za mwisho, Majuma ya Uamsho na Maombi, Makongamano ya Utume na Uwakili.

Vision(Maono):
Kuwa kituo bora cha utoaji wa huduma za injili ndani na nje ya nchi ya Tanzania ifikapo mwaka 2025.

Mission(Ujumbe/Wito)
Kujitoa kwa ufanisi katika kufanya mikutano ya injili, huduma za afya, uinjilisti kwa makundi maalumu, huduma za vyombo vya habari, mafunzo na kujenga uwezo.

Objectives(Malengo)
• Kutangaza injili ya milele kwa muktadha wa malaika wa tatu wa ufunuo 14.
• Kupunguza mzigo wa magonjwa kwa kuelimisha kanuni za afya katika jamii.
• Kushiriki upendo wa Yesu na wahitaji.
• Kuchochea uwezo kwa watu kutambua fursa walizonazo na kusambaza injili.
• Kuwa kituo cha kuzalisha habari za injili na usambazaji wake.

Tafadhali kama umependezwa na huduma zetu na unataka kuwa sehemu ya kazi zetu kwa namna yoyote, wasiliana nasi:

Barua Pepe: sharehopeministries@gmail.com

Simu ya mkononi: +255715678122, +255768678122, +255756534710, +255684280775,

+255716387987, +255768799730

Advertisements

ShareHope Ministry is the independent ministry which aims to proclaim the three angels message of Revelation 14 in the theme of Seventhday Adventist Church. The programs are designed include all people without regarding social, political, econimical and geographical boundaries.

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s