Vijana Walio Katika Ndoa Waaswa Kuwa Wabunifu Ili Kupunguza Migogoro, Huku Makapela Waonywa Kuwa Makini

Vijana waliopo katika ndoa wameaswa kuwa wabunifu wa mambo mbalimbali yatakayoboresha na kutumisha upendo katika nyumba kuliko kuendekeza upendo usio na vitendo. Maneno hayo yalitolewa na Mzee wa Kanisa la Mbeya Mjini SDA Dr. Mkeni wakati akiendesha darasa la mahusiano wakati wa matembezi yaliofanyika katika Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.

Kwa upande mwingine Master Guide, Ndg. Steven Wilson ambaye pia ni Mwenyekiti wa AY Mbeya Mjini SDA, Aliwaonya vijana ambao hawajaingia katika ndoa kuchukua tahadhari mapema wasije wakakuta kile wanachokidhania kuwa ni dhahabu kumbe ni madini mengine.

Mzee wa Kanisa la Mbeya Mjini SDA, Dr. Mkeni (Aliyevalia koti la suti). Akitoa semina kwa vijana ambao wapo katika ndoa wakati walipokuwa katika matembezi ya mafunzo wilayani Rungwe katika mkoa wa Mbeya.

Ndg. Steven Wilson akitoa semina ya mahusiano

Ndg. Steven Wilson akitoa semina ya mahusiano

Vijana ambao hawajaingia katika ndoa wakiwa katika semina fupi ya mahusiano iliyoongozwa na Ndg. Steven Wilson

Vijana ambao hawajaingia katika ndoa wakiwa katika semina fupi ya mahusiano iliyoongozwa na Ndg. Steven Wilson

Advertisements
By ShareHope Ministries Posted in News

ShareHope Ministry is the independent ministry which aims to proclaim the three angels message of Revelation 14 in the theme of Seventhday Adventist Church. The programs are designed include all people without regarding social, political, econimical and geographical boundaries.

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s