Quote

Chama Cha Vijana Wakubwa toka Kanisa la Mbeya Mjini SDA wafanya matembezi katika baadhi ya vivutio vya ajabu vya utalii vilivyopo wilaya ya Rungwe mkoani ili kujifunza ukuu na uumbaji wa Mungu. Matembezi hayo yaliongozwa na Mzee wa kanisa Dr. Mkeni, Mwenyekiti wa Chama cha AY wa kanisa Ndg. Steven Wilson na Katibu/Mwl wa Kwaya ya vijana Ndg. Hezbon Sengere.

Katibu wa Chama cha Vijana Mbeya Mjini ambaye pia ni Mwl. wa kwaya Ndg. Hezbon Sengere akiteta jambo na Mzee wa Kanisa wa Mbeya Kati Ndg. Mghaka Peter Chacha kabla ya kuanza safari kuelekea matembezini.

Ndg. Mujaya Mujaya, Mkurugenzi wa mawasiliano na TEHAMA wakati wakijiandaa kuanza safari kanisa la Mbeya Mjini SDA

Ndg. Mujaya Mujaya, Mkurugenzi wa mawasiliano na TEHAMA wakati wakijiandaa kuanza safari kanisa la Mbeya Mjini SDA

Vijana wakiwa safarini kuelekea katika matembezi

Vijana wakiwa safarini kuelekea katika matembezi

Baada ya kufika tulilazimika kusubiri kupokea utaratibu wa jinsi ya kufika kutazama Kijungu. Sehemu inayosemekana kuwa na maajabu sana.

Baada ya kufika tulilazimika kusubiri kupokea utaratibu wa jinsi ya kufika kutazama Kijungu. Sehemu inayosemekana kuwa na maajabu sana.

Vijana walishangazwa kukuta utaratibu mpya wa kuchangia huduma za kijamii kijijini hapo kwa kupitia mapato yanayopatikana katika Kijungu. Hapa ni baadhi ya vijana wakipata ufafanuzi juu ya ukusanyaji wa fedha hizo.

Vijana wakitazama Kijungu sehemu ya ajabu iliyoacha vizazi vingi wakishangaa kwa maajabu yake.

Vijana wakitazama Kijungu sehemu ya ajabu iliyoacha vizazi vingi wakishangaa kwa maajabu yake.

IMG_20141207_133903

Maji yanavyoingia ndani ya Kujungu

Maji yanavyoingia ndani ya Kujungu

Kijungu katika picha

Kijungu katika picha

Kijungu katika picha

Kijungu katika picha

Kijungu katika picha

Kijungu katika picha

Muinjilisti Mujaya Mujaya akifurahia maajabu ya Mungu kwa kupiga picha mbele ya kijungu.

Muinjilisti Mujaya Mujaya akifurahia maajabu ya Mungu kwa kupiga picha mbele ya kijungu.

Ndg. Vitus Chalo, miongoni mwa vijana waliopata ujasiri wa japo kukaa karibu kabisa na mdomo wa Kijungu ambacho ni hatari sana maana ukizama ndani huchukua hadi siku saba kupatikana tena.

Ndg. Vitus Chalo, miongoni mwa vijana waliopata ujasiri wa japo kukaa karibu kabisa na mdomo wa Kijungu ambacho ni hatari sana maana ukizama ndani huchukua hadi siku saba kupatikana tena.

Mzee Eliya Kalyenge (88) ndiye alikuwa mwelekezaji wa vijana kuhusu historia na maajabu ya Kijungu. Miongoni mwa maajabu ni Kijungu kutoa mwanga mkali unaong'aa wakati wa usiku pia inasemekana kwa mujibu wa Mzee Kalyenge, mwanga huo unatokana na nyoka wa asili mwenye vichwa 12 aliyepo katika eneo hilo.

Mzee Eliya Kalyenge (88) ndiye alikuwa mwelekezaji wa vijana kuhusu historia na maajabu ya Kijungu. Miongoni mwa maajabu ni Kijungu kutoa mwanga mkali unaong’aa wakati wa usiku pia inasemekana kwa mujibu wa Mzee Kalyenge, mwanga huo unatokana na nyoka wa asili mwenye vichwa 12 aliyepo katika eneo hilo.

Mkurugenzi wa Mawasiliano na TEHAMA toka ShareHope Ministries akimhoji mwenyeji mwelekezi juu ya maajabu ya Kijungu na nini hufanya iwe ni sehemu ya pekee.

Mkurugenzi wa Mawasiliano na TEHAMA toka ShareHope Ministries akimhoji mwenyeji mwelekezi juu ya maajabu ya Kijungu na nini hufanya iwe ni sehemu ya pekee.

Kwa mujibu wa maelezo ya wenyeji, ikiwa mtu atazama ndani ya Kijungu na kutoka salama baada ya siku 7, basi lazima anyweshwe dawa maalumu ya jadi chini ya mti huu wa mparachichi vinginevyo atakufa baada ya siku chache.

Muinjilisti Mujaya Mujaya katika mti wa mparachichi ambao kwa mujibu wa wenyeji una maajabu yake pia.

Muinjilisti Mujaya Mujaya katika mti wa mparachichi ambao kwa mujibu wa wenyeji una maajabu yake pia.

IMG_20141207_135836

Chama Cha Vijana Wakubwa (AY) kutoka kanisa la Waadventista Wa Sabato Mbeya Mjini Watembelea Kijungu na Daraja la Mungu Mbeya

Advertisements
By ShareHope Ministries Posted in News

ShareHope Ministry is the independent ministry which aims to proclaim the three angels message of Revelation 14 in the theme of Seventhday Adventist Church. The programs are designed include all people without regarding social, political, econimical and geographical boundaries.

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s