Wanafunzi 15 kutoka Shule ya Sekondari ya wasichana Loleza wabatizwa

Katika hali isiyo ya kawaida, jumla ya wasichana 18 wamebatizwa na kuingia katika ushirika wa kanisa la Waadventista wa Wasabato Mbeya Mjini baada ya kumpokea Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yao. Kati ya wasichana hao, jumla ya wasichana 15 wametoka katika Shule ya Sekondari ya Loleza. Ni mafanikio na mapinduzi makubwa  ya kazi ya Mungu ulimwenguni kwa kundi kubwa namna hiyo. Ni muda mrefu sana kwa Manisa la Mbeya Mjini kubatiza idadi kubwa ya wanafunzi kutoka shule ya Loleza.

Baadhi ya wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya wasichana ya Loleza wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa kanisa la Mbeya Mjini mara baada ya Ibada ya pekee sana iliyofanyika Tar. 22/11/2014 nakushuhudia wasichana 15  miongoni mwao wakipokea ubatizo.

Baadhi ya wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya wasichana ya Loleza wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa kanisa la Mbeya Mjini mara baada ya Ibada ya pekee sana iliyofanyika Tar. 22/11/2014 nakushuhudia wasichana 15 miongoni mwao wakipokea ubatizo.

Advertisements
By ShareHope Ministries Posted in News

2 comments on “Wanafunzi 15 kutoka Shule ya Sekondari ya wasichana Loleza wabatizwa

  1. Mungu ni mwema Na ahimidiwe milele…Mungu azidi kuwaongoza mabinti hao katika Imani maana wameingia kwenye vita na shetani..Na tuwasaidie katika maombi wasonge mbele na Yesu daima.

    Like

  2. Bwana awe nao kila kona na awalinde na mishale ya shetani na zaidi wadumu ktk nena la Mungu ambalo kwalo tumekombolewa.

    Like

ShareHope Ministry is the independent ministry which aims to proclaim the three angels message of Revelation 14 in the theme of Seventhday Adventist Church. The programs are designed include all people without regarding social, political, econimical and geographical boundaries.

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s