Semina za Wahazi wa TUCASA Iringa Zone zapendeza…

Semina za Wahazini wa TUCASA kanda ya Iringa zapendeza. Mwenyekiti wa TUCASA wa STUM Ndg. Methuselah Masunga aongoza mamia ya wanaTUCASA kutoka vyuo vya mkoa wa Iringa katika Ibada ya Pekee ambapo watu kadhaa walijitoa kwa ubatizo.

Pamoja na hayo TUCASA SHC ilijipatia viongozi wapya kwa Bwana baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa SHC Ndg. David Mbwambo (Mchungaji kwa sasa) kufukuzwa chuo kwa sababu ya imani. Viongozi waliochaguliwa ni Mwenyekiti Msaidizi na Mkaguzi wa ndani wa fedha.

Mwenyekiti wa TUCASA STUM Ndg. Methuselah Masunga (kushoto) akiteta jambo na aliyekuwa mwenyekiti wa TUCASA SHC Mch. David Mmbwambo

Mwenyekiti wa TUCASA STUM Ndg. Methuselah Masunga (kushoto) akiteta jambo na aliyekuwa mwenyekiti wa TUCASA SHC Mch. David Mmbwambo

Ndg. Petro Tumaini kwa niaba ya Mkurugenzi wa idara ya Chaplensia, Vijana na Muziki Mch. Bambanganya, alisimamia zoezi la uchaguzi

Ndg. Petro Tumaini kwa niaba ya Mkurugenzi wa idara ya Chaplensia, Vijana na Muziki Mch. Bambanganya, alisimamia zoezi la uchaguzi

Mwenyekiti wa TUCASA STUM-Akimega mkate wa uzima kwa mamia ya wanavyuo wa Iringa

Mwenyekiti wa TUCASA STUM-Akimega mkate wa uzima kwa mamia ya wanavyuo wa Iringa

Baadhi ya watu waliomkabidhi Yesu maisha yao wakajitoa kwa ubatizo

Baadhi ya watu waliomkabidhi Yesu maisha yao wakajitoa kwa ubatizo

Mamia ya wanachama wa TUCASA Iringa zone wakiwa katika ibada chuo cha CDTI iringa.

Mamia ya wanachama wa TUCASA Iringa zone wakiwa katika ibada chuo cha CDTI iringa.

Mwenyekiti wa TUCASA SHC Ndg. Charles Mang'era akimkaribisha kiongozi wa mawasiliano wa TUCASA-STUM Ndg. Erick Lazaro afungue semina za wahazini kwa niaba ya mwenyekiti wa TUCASA STUM

Mwenyekiti wa TUCASA SHC Ndg. Charles Mang’era akimkaribisha kiongozi wa mawasiliano wa TUCASA-STUM Ndg. Erick Lazaro afungue semina za wahazini kwa niaba ya mwenyekiti wa TUCASA STUM

Kiongozi wa mawasiliano TUCASA STUM Ndg. Erick Lazaro akifungua semina za Wahazini na Wakaguzi wa ndani

Kiongozi wa mawasiliano TUCASA STUM Ndg. Erick Lazaro akifungua semina za Wahazini na Wakaguzi wa ndani

Wanasemina wakisikiliza kwa makini sana mafunzo muhimu kwa ufanikishaji wa ukusanyaji na utunzaji wa hazina ya Bwana

Wanasemina wakisikiliza kwa makini sana mafunzo muhimu kwa ufanikishaji wa ukusanyaji na utunzaji wa hazina ya Bwana

Ev. Mujaya Mujaya akiendesha semina za wahazini Iringa zone

Ev. Mujaya Mujaya akiendesha semina za wahazini Iringa zone

Ev. Mujaya Mujaya akiteta jambo pamoja na Mhazini na Mkaguzi wa fedha wa TUCASA SHC baada ya Semina

Ev. Mujaya Mujaya akiteta jambo pamoja na Mhazini na Mkaguzi wa fedha wa TUCASA SHC baada ya Semina

Wanasemina wakifanya mafunzo kwa vitendo katika kanisa la waadventista wa sabato Gangilonga.

Wanasemina wakifanya mafunzo kwa vitendo katika kanisa la waadventista wa sabato Gangilonga.

Wanasemina wakijadiliana maswali ya mjadala ili kupima uelewa wa kila mmoja na uwezo wao wa kusaidiana katika kazi ya Mungu

Wanasemina wakijadiliana maswali ya mjadala ili kupima uelewa wa kila mmoja na uwezo wao wa kusaidiana katika kazi ya Mungu

Mjadala wa makundi ukiendelea

Mjadala wa makundi ukiendelea

IMG_20141109_195326

Wanasemina kutoka Iringa Zone katika picha ya pamoja, kulia kabisa ni Ev. Mujaya Mujaya

Wanasemina kutoka Iringa Zone katika picha ya pamoja, kulia kabisa ni Ev. Mujaya Mujaya

Advertisements
By ShareHope Ministries Posted in News

2 comments on “Semina za Wahazi wa TUCASA Iringa Zone zapendeza…

ShareHope Ministry is the independent ministry which aims to proclaim the three angels message of Revelation 14 in the theme of Seventhday Adventist Church. The programs are designed include all people without regarding social, political, econimical and geographical boundaries.

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s