Wanafunzi 15 kutoka Shule ya Sekondari ya wasichana Loleza wabatizwa

Katika hali isiyo ya kawaida, jumla ya wasichana 18 wamebatizwa na kuingia katika ushirika wa kanisa la Waadventista wa Wasabato Mbeya Mjini baada ya kumpokea Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yao. Kati ya wasichana hao, jumla ya wasichana 15 wametoka katika Shule ya Sekondari ya Loleza. Ni mafanikio na mapinduzi makubwa  ya kazi ya Mungu ulimwenguni kwa kundi kubwa namna hiyo. Ni muda mrefu sana kwa Manisa la Mbeya Mjini kubatiza idadi kubwa ya wanafunzi kutoka shule ya Loleza.

Baadhi ya wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya wasichana ya Loleza wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa kanisa la Mbeya Mjini mara baada ya Ibada ya pekee sana iliyofanyika Tar. 22/11/2014 nakushuhudia wasichana 15  miongoni mwao wakipokea ubatizo.

Advertisements
By ShareHope Ministries Posted in News

Askofu wa Kanisa la Waadventista wa Wasabato nyanda za juu kusini (SHC) mwa Tanzania Mch. Joseph Mngwabi ahutubia mamia ya wanavyuo wa jiji la Mbeya.

Mwenyekiti wa jumbo aongoza ibada maalumu ya sabato ya wageni iliyofanyika Chuo Kikuu cha Makumira tawi la Mbeya.

Mamia ya wanafunzi wa vyuo vikuu katika ibada iliyofanyika Makumira University mbeya campus.

Askofu alifanya pia zoezi la kugawa vyeti kwa wahudumu wa mahubiri ya TUCASA STUM yaliyoganyika Morogoro

Askofu (wa kwanza kabisa kulia) alifanya pia zoezi la kugawa vyeti kwa wahudumu wa mahubiri ya TUCASA STUM yaliyoganyika Morogoro

Katibu wa TUCASA STUM Ev.  Godfrey Machota akipokea cheti chake

Ev. Mujaya Mujaya akiwa katika ibada hiyo pia

Ev. Mujaya Mujaya akiwa katika ibada hiyo pia

By ShareHope Ministries Posted in News

Semina za Wahazi wa TUCASA Iringa Zone zapendeza…

Semina za Wahazini wa TUCASA kanda ya Iringa zapendeza. Mwenyekiti wa TUCASA wa STUM Ndg. Methuselah Masunga aongoza mamia ya wanaTUCASA kutoka vyuo vya mkoa wa Iringa katika Ibada ya Pekee ambapo watu kadhaa walijitoa kwa ubatizo.

Pamoja na hayo TUCASA SHC ilijipatia viongozi wapya kwa Bwana baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa SHC Ndg. David Mbwambo (Mchungaji kwa sasa) kufukuzwa chuo kwa sababu ya imani. Viongozi waliochaguliwa ni Mwenyekiti Msaidizi na Mkaguzi wa ndani wa fedha.

Mwenyekiti wa TUCASA STUM Ndg. Methuselah Masunga (kushoto) akiteta jambo na aliyekuwa mwenyekiti wa TUCASA SHC Mch. David Mmbwambo

Ndg. Petro Tumaini kwa niaba ya Mkurugenzi wa idara ya Chaplensia, Vijana na Muziki Mch. Bambanganya, alisimamia zoezi la uchaguzi

Mwenyekiti wa TUCASA STUM-Akimega mkate wa uzima kwa mamia ya wanavyuo wa Iringa

Baadhi ya watu waliomkabidhi Yesu maisha yao wakajitoa kwa ubatizo

Mamia ya wanachama wa TUCASA Iringa zone wakiwa katika ibada chuo cha CDTI iringa.

Mwenyekiti wa TUCASA SHC Ndg. Charles Mang'era akimkaribisha kiongozi wa mawasiliano wa TUCASA-STUM Ndg. Erick Lazaro afungue semina za wahazini kwa niaba ya mwenyekiti wa TUCASA STUM

Mwenyekiti wa TUCASA SHC Ndg. Charles Mang’era akimkaribisha kiongozi wa mawasiliano wa TUCASA-STUM Ndg. Erick Lazaro afungue semina za wahazini kwa niaba ya mwenyekiti wa TUCASA STUM

Kiongozi wa mawasiliano TUCASA STUM Ndg. Erick Lazaro akifungua semina za Wahazini na Wakaguzi wa ndani

Wanasemina wakisikiliza kwa makini sana mafunzo muhimu kwa ufanikishaji wa ukusanyaji na utunzaji wa hazina ya Bwana

Ev. Mujaya Mujaya akiendesha semina za wahazini Iringa zone

Ev. Mujaya Mujaya akiteta jambo pamoja na Mhazini na Mkaguzi wa fedha wa TUCASA SHC baada ya Semina

Wanasemina wakifanya mafunzo kwa vitendo katika kanisa la waadventista wa sabato Gangilonga.

Wanasemina wakijadiliana maswali ya mjadala ili kupima uelewa wa kila mmoja na uwezo wao wa kusaidiana katika kazi ya Mungu

Mjadala wa makundi ukiendelea

Mjadala wa makundi ukiendelea

IMG_20141109_195326

Wanasemina kutoka Iringa Zone katika picha ya pamoja, kulia kabisa ni Ev. Mujaya Mujaya

Wanasemina kutoka Iringa Zone katika picha ya pamoja, kulia kabisa ni Ev. Mujaya Mujaya

By ShareHope Ministries Posted in News

Semina ya Wahazini na Wakaguzi wa fedha TUCASA Mbeya Zone zafana

Wanasemina walipata nafasi ya kufanya mazoezi ili  kujipima uelewa wao kwa mafunzo waliyoyapokea

Mhazini mkuu wa TUCASA SHC Ndg. Gilead Godson wakijadiliana jambo na mwakilishi kutoka TUCASA Sub-Zone ya Songea wakati wa semina

Mhazini mkuu wa kanda ya Mbeya Bi. Modesta Enock akielekezana jambo na mjumbe wa semina wakati wa mafunzo kwa vitendo

Wahazini kutoka Tucasa kanda  ya Mbeya wakati walipokuwa katika semina za Wahazini na Wakaguzi wa fedha zilizofanyika Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST). Kulia kabisa ni Mhazini wa SHC Ndg. Giliad Godson na Mwezeshaji wa semina Ev. Mujaya Mujaya.