Semina ya mapishi ya soya ya chai, maziwa na nyama katika kijiji cha Peko Misegese Mvomero Morogoro

IMG_20140711_165029

Muinjilisti akitoa maelekezo ya kuandaa maziwa ya soya

IMG_20140711_171453

Wana semina wakifurahia kuona maziwa yakitoka katika nafaka. Aliyesimama kulia ni Lightness na kushoto ni mama Ziada wote kutoka Peko Misegese, chini ni mwimjilisti Mujaya Mujaya na Ndg. Mathew maarufu kama baba Isaac

IMG_20140711_172401

Wana semina, Lilian Suleiman na Ndg. Thomas Alex wakichuja maziwa ya soya

IMG_20140711_171416

Mwinjilisti Mujaya Mujaya akitoa maelekezo juu ya namna ya kuchanganya maziwa na maji bila kupoteza ubora wake

IMG_20140711_181306

Muinjilisti Mujaya Mujaya akiwaelekeza wana semina jambo baada ya maziwa kuiva

IMG_20140711_181333

Muinjilisti Mujaya Mujaya pamoja na mkuu wa kundi la Peko Misegese Ndg. Laurent Faustine wakionja maziwa baada ya kuiva

IMG_20140711_183701

Baadhi ya wana semina wakipata maziwa ya soya baada ya kuwa tayari

IMG_20140711_183732

Mmoja wa wana semina anaejulikana kama mama Lea akimpatia chai ya maziwa ya soya mwanae baada ya kuwa tayari

IMG_20140711_183817

Wanasemina katika hatua za kutayarisha nyama ya soya

Advertisements
By ShareHope Ministries Posted in Health

ShareHope Ministry is the independent ministry which aims to proclaim the three angels message of Revelation 14 in the theme of Seventhday Adventist Church. The programs are designed include all people without regarding social, political, econimical and geographical boundaries.

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s